Tuesday 6 May 2014

LOVE BILA REGRETS

Eti mapenzi ni uvumilivu?
Being loved is harder,
Lakini lina utamu na machungu,
You only feel it when you grow older,
Ndiyo maana nikanywa sumu,
That targets the core of my soul.

Swali ninalo ni waniona niliko?
Beneath the leaves of the table,
Pahala unapoketi kila mara ukiwaza swali lisilojibika,
Without committing your heart through risk and positivity,
Niliambiwa haifichiki nawe sijawahi kukuona uchi,
Yet I've undressed you illegally before,
Bila kibali cha ruhusa.

Hayo si muhimu kwa sasa,
Since to me your virginity still stands,
Shida ni,utanipenda lini ndiposa nikujue kiakili,
For me to touch your conscience every time you sleep,
Yaja yawe kuwepo ushikamano kati yetu kila usiku,
So that I learn all the mysteries of your behaviors,
Nikuchukue kama mchumba wangu bila hofu,
I drop all the galactic fascinations aloft your bedroom ceiling.

Siwezi sema kama utafurahia hayo,
For your kind of joy is ever hard to find.
Lakini najitolea kukupa mapenzi ya bure,
I pour my emotional soup into your mouth,
Ukinitema sawa,ukinimwaga sitazoleka,

At-least would now know that my specie of love is not for your genes.
Siwezi juta lakini.
No hard feelings.
Hamna la kusema wala,kufanya kwa sasa.
Dreams are had to be shattered.
Nishashtuka.

M.O.O aka Carswell evoL

No comments:

Post a Comment